Michezo

Watson atinga robo fainali Luxembourg Open

Mchezaji tenis raia wa Uingereza, Heather Watson ametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi ya Luxembourg (Luxembourg Open) baada ya kumshinda mpinzani wake, Anett Kontaveit.

Watson mwenye umri wa miaka 25, ametumiaka saa moja na sekunde 24 pekee kumfunga, Anett Kontaveit kwa jumla ya seti 6-4 6-4.

Muingereza huyo anaeshika nafasi yapili katika viwango vya mchezo huo sasa atacheza na Elise Mertens.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents