Habari

Watu 10 watiwa mbaroni kwa kumchapa mwanamke hadharani mkoani Mara

Kufuatia tukio lililotokea hivi lililoonyesha mwanamke mmoja akichapwa viboko visivyo na idadi mbele ya umati wa watu, Jeshi la Polisi limewatia mbaroni watu kumi kwa kuhusika na tukio hilo lilitokea mkoani Mara.

Hii taarifa ya jeshi hilo:

https://youtu.be/LbI_OnfbGVM

Hivi karibuni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangallah alisema serikali imepinga vikali kitendo hicho huku ikisisistiza kutofumbia macho matukio kama hayo.

BY: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents