Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Watu 200 wakamatwa kwa tuhuma za dawa za kulevya, unyang’anyi (Video)

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar ES salaam limeendelea kufanya misako na operesheni kali ambapo kuanzia 10/7/2017 mpaka tarde 16/7/2017 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 200 kwa makosa mbalimbali ya uhalifu.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW