Burudani
Watu 500 wajitokeza kwenye usaili wa filamu za Duma (Video)
Msanii wa filamu Duma Ijumaa hii amefanya usaili kwaajili ya maandalizi ya filamu zake mpya ambazo zinakwenda kufanyika wilayani Kisarawe kwa DC Jokate. Usahili huyo utahudhuriwa watu zaidi 500.