HabariUncategorized

Watu wasiojulikana wanazidi kututisha – Maulid Kitenge

Mtangazaji wa EFM, Maulid Kitenge ameonyeshwa kusikitishwa na matukio ya kuvamiwa kwa ofisi za wanasheria ambapo jana ofisi za Wakili wa Manji zilivamiwa.

Kitenge ametumia ukurasa wake wa Twitter kuonyeshwa kuchoshwa na watu wanaofanya matukio maarufu kama watu wasiojulikana.

Haya matukio ya kuvamiwa ofisi za Wanasheria vipi? Watu wasiojulikana wanazidi kututisha..Polisi mko wapi?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents