Habari

Watu wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express likitokea Dar kwenda Kyela kupinduka

Watu wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express likitokea Dar kwenda Kyela kupinduka usiku wa kuamkia leo njia panda ya Lutengano katika Kijiji cha Ushirika barabara kuu ya Mbeya Malawi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents