Michezo

Wawili Kanda ya Ziwa waondoka na TVS King kutoka SportPesa

Promotion ya ShindaNaSportPesa inayoendeshwa na Kampuni ya Kubashiri Michezo ya SportPesa imeendelea kuwanufaisha watanzania wa chini baada ya November 14 mwaka huu washindi wawili kutoka Kanda ya Ziwa wametangazwa kuibuka na bajaj.

Mmoja kati ya washindi hao wakikabidhiwa bajaj

Washindi hao ni Edward Zangara Mwita mwenye miaka  32 kutoka Igoma Mwanza pamoja na Nephat Jason Changula mwenye miaka 31 kutoka Simiyu Maswa.

Wawili hao wamejishindia bajaj hizo mpya baada ya kujiunga na SportPesa kupitia www.sportpesa.co.tz pamoja na kuanza kubashiri mechi mbalimbali za kimataifa zinazoendelea.

SportPesa kupitia promotion hiyo wanatoa bajaj 100 kwa washindi 100 kila siku kwa kipindi cha miezi mitatu ambapo mpaka sasa  tayari bajaj 18 kati ya 100 zimeshatoka na washindi wamekabidhiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents