Burudani

Wayne is Back

 

Baada ya star wa Hip Hop kutoka kundi la Cash Money Young Money Billionaires kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, Lil Wayne aka Weezy aliachiwa huru jana majira ya asubuhi mjini New York.

Weezy, ambaye jina lake halisi ni Micheal Carter ameachiwa baada ya kutumikia kifungo kwa muda wa wa miezi nane kati ya mwaka mmoja baada ya kutuhumiwa kwa kosa la kuwa na silaha bila kibali.

Inasemekana kwamba Wayne atatupiwa bonge la party na baba yake Bird Man pamoja na familia yake ya kimiziki Young Money wakiweo Nicki Minaj na Drake.

Tutegemee mambo makubwa kutoka Young Money soon!

Welcome back Weezy!

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents