Michezo

Wayne Rooney afikia rekodi ya Sir Bobby Charlton ya magoli 49

Mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United Wayne Rooney alifunga goli la 49 kwa mkwaju wa penart katika ushindi wa 6-0 dhidi ya San Marino na kuifanya nchi hiyo kufudhu Euro 2016.

Roney

Mshambuliaji huyo kwa sasa yuko sawa katika ufungaji na mfungaji wa muda wote wa Uingereza Sir Bobby Charlton.

Rooney amesema kwa sasa lengo lake nikuipita rekodi hiyo ya gwiji huyo wa zamani wa Manchester United.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents