Michezo

Wayne Rooney aivunja rekodi ya Sir Bobby Charlton

Mchezaji wa Uingereza, Wayne Rooney, usiku wa September 8 aliivunja rekodi ya Sir Bobby Charlton kwa kufunga goli la 50.

article-3227023-2C1A087200000578-398_964x352

Wayne Rooney alifunga goli la 50 kwa mkwaju wa penati wakati wa mchezo dhidi ya Switzerland wa kuwania kufuzu kucheza EURO 2016. Mechi hiyo ilimalizika kwa Uingereza kuibuka na ushindi wa jumla wa goli 2-0.

2C16903E00000578-3226944-image-a-71_1441746470439

Baada ya mechi hiyo kumalizika Rooney aliingia katika chumba cha kubadilishia nguo na kuanza kupigiwa makofi na wachezaji wenzake. Kocha wake alimkabidhi jezi namba 50 ambayo ni jumla ya magoli aliyofunga katika timu ya taifa ya Uingereza.

2C168E8300000578-3227023-After_the_game_Rooney_made_sure_to_reserve_special_praise_for_cu-a-105_1441751408454

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents