Michezo

Wayne Rooney akataa zaidi Tsh bilioni 220 kutoka klabu ya wachina (Shanghai Shenhua )

Mchezaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Man United Wayne Rooney baada ya klabu ya China ya Shanghai Shenhua kuomba kumsajili kutoka klabu yake ya Man United.

Rooney24

Klabu ya Shanghai Shenhua ilianza kuiomba Man United kumsajili Wayne Rooney kwa dau la pound milioni 27 mwishoni mwa mwaka 2015, kwa sasa inamuhitaji na ilikuwa inataka kumlipa mshahara wa pound 500,000 kwa wiki, kwa mkataba wa miaka mitatu, huu unakuwa ni mshahara ambao ni mara mbili ya anaopokea Man United ambapo angekuwa Wayne Rooney anavuna zaidi ya Tsh bilioni 220 kwa kipindi cha miaka mitatu nje ya posho na bonansi za mechi.

Sunday Times iliripoti February 20 kuwa Wayne Rooney alikataa mpango huo wa kujiunga na klabu hiyo ya China. klabu ya Shanghai Shenhua iliwahi kuwasajili wachezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba na Nicolas Anelka, Hivyo Rooney kukataa dili hilo la kujiunga na klabu hiyo unafananishwa sawa na Rooney kukataa zaidi ya Tsh bilioni 220.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents