Michezo

Wayne Rooney ateuliwa kuwa nahodha mpya Manchester United

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amemtangaza Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo na Darren Fletcher kuwa msaidizi wake.

Wayne Rooney

Kwenye maelezo yake Louis van Gaal alisema: Kwangu mimi ni muhimu uteuzi wa nahodha ni kitu muhimu. Wayne ameonesha tabia nzuri katika kila anachokifanya. Nimevutiwa na weledi wake na tabia yake katika mazoezi na falsafa yangu. Ni mfano mzuri kwa wachezaji wachanga katika timu na naamini ataweka moyo wake katika kazi ya unahodha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents