Michezo

Wayne Rooney yupo njia panda ‘kuondoka au kubaki’ Manchester United

Ni wiki mbili mfululizo kiungo mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney anamiliki vichwa vya habari kwenye ulimwengu wa soka, kuhusu suala la uwezekano wa uhamisho wake ya kwenda Chelsea. Lakini bado haijajulikana kama Rooney ataondaka au atabaki.

Rooney-Chelsea-30m

Wiki iliyopita Man U waliikataa ofa ya Chelsea ya paundi milioni 22 ili wamuongezee Rooney kwenye kikosi chake msimu ujao Hata hivyo The Blues wameliambia The Mirror kuwa wana uhakika Wayne Rooney atavaa tena jezi yao kwa dau la paundi milioni 30 ambayo wana uhakika hawawezi kuikataa.

Na sasa The Telegraph wanaripoti kuwa wanajiandaa kujikakamua tena kutangaza dau la paundi milioni 40.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents