Habari

Wazee wa ACT – Wazalendo wasikitishwa na kauli ya Spika Ndugai

Wazee wa Chama cha ACT – Wazalendo Mkoa wa Kigoma wakerwa na kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyosema kuwa ana uwezo wa kumzuia Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kutozungumza chochote mpaka mwisho wa ubunge wake.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents