BurudaniEvents

Wazee wa Old is Gold waja

 

Waze_Wazili_Ali

wanamuziki ambao wameshatimiza miaka zaidi ya 50, wameamua kujikusanya pamoja na kuunda kama chama ambacho kitakuwa kikipiga miziki ya zamani ilikurudisha muziki wenye radha na vifaa vya ukweli katika muziki.

 

Aidha baadhi ya wazee wa bendi hiyo wamesema wanashangazwa kwa wanamuziki wa kisasa ambao wanajiita bongo fleva kujiingiza katika muziki huku wakiwa hawana ujuzi wa kupiga kifaa chochote cha muziki huo.

pia wazee wengine wameshangazwa na madj’z wa siku hizi kwa kutopiga muziki ambao wanaletewa na ulitungwa na wazee hao tena wenye ujumbe, kwa madai kwamba hawaujui wakati kwenye redio wanapiga nyimbo zao za zamani sana na kuzipenda, na kuzibagua hizi wanazoimba sasa.

wazee_mpiga_gitaa
Mohamedi Mrisho, mpiga gitaa na muimbaji wa bendi ya Six Manyala
wazee_mpiga_sexphone

 

Wazee_mpiga_ngoma

mzee Juma Sangura, ambaye anasema hadi sasa wapiga vifaa wengi wameshaisha
Wazee_Kanku_Kelly

wazeee_mpiga_kinanda

Wazee

Mpiga drams wa Njenje Juma Omari

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents