Michezo

Wazee wa Simba watoa majigambo yao kwa Yanga kuhusu usajili

Kunako Simba Day kesho Mwenyekiti wa wazee Simba moja ya wazee wa Baraza la Wazee  Simba, Omari Bakari Mtika amejigamba na kuwataka mashabiki  na wapenzi wa klabu hiyo kufika kesho katika Simba Day kuona walichofanya juu ya usajili wa msimu huu.


Mzee Omari Bakari Mtika

Akiongea na Bongo5, Mzee huyo hakusita kutaja sababu za klabu yake kushindwa kumalizia uwanja wao uliopo Bunju na kueleza kuwa panapo majaliwa basi wataumaliza wakati wowote.

Wakati huo huo mzee huyo ameongeza kwa kusema, katika msimu huu mpya wa ligi kuu unaotarajiwa kuanza August 26 basi watani zao Yanga wajiandae kwa vipigo mfululizo kuanzia kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani utakaochezwa 23mwezi huu.

Na Laila Sued na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents