Habari

Wazee walalamika kukimbiwa na watoto wao, Uzee una tabu sana watoto wa siku hizi hawa baraka (+Video)

Taasisi inayosimamiwa na watu binafsi iliyopo chini ya @bosskhan_british imesaidia wazee wasiojiweza katika baadhi ya maeneo jijini Dar Es Salaam. Akiongea mmoja ya watu wanaouda taasisi hiyo Happy Isaya ameeleza dhumuni la kuamua kusaidia wazee hao.

Baada ya kupata nafasi ya kuzungumza baadhi ya wazee hao waliomba msaada Serikalini huko mmoja wao akipelekea malalamishi kwa watoto wake aliodai wamemkimbia baada ya yeye kuzeeka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents