Habari
Waziri Aweso akizindua Aweso Cup: Amwaga mamilioni, RC Martin amvulia kofia (Video)
RC wa Tanga Martin Shigella akiwa sambamba na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso Jumapili hii wilayani Pangani Mkoani Tanga, walizindua ligi Wilaya ya Pangani Aweso Cup.