Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Waziri Kairuki amtwisha mzigo wa vyeti feki Mh. Nkuchika (Video)

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki amesema kuwa hana shaka na Waziri mpya , George Nkuchika katika ofisi ya Utumishi na Utawala bora, huku akieleza kuwa sehemu iliyobaki ana anaamini Waziri huyo ataimalizia: Tazama video hii akieleza

Oktoba 7 mwaka huu, Rais Magufuli alifanya Mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri ambapo baadhi ya mawaziri wamepoteza nafasi zao huku baadhi wakipanda na wengine wapya wakiteuliwa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW