Habari

Waziri Lugola ataja chanzo cha mauaji ya watoto mkoani Njombe na kutoa onyo kali (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Mhe. Kangi Lugola amefunguka kwa mara ya kwanza, kuhusu mauaji ya watoto mkoani Njombe na kudai kuwa ni ya imani za kishirikina.

Waziri Lugola amesema hayo leo Jumatano Januari 30, 2019 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la nyongeza lililoulizwa na mbunge wa Mufindi Kusini (CCM), Mendrad Kigola, lililohoji kuhusu mauaji hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents