Habari
Waziri Mkuu amtembelea Mama Maria Nyerere (+Picha)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa na mkewe Bi. Mary Majaliwa amemtembelea na kuzungumza na Mama Maria Nyerere wakati walipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama.