Burudani ya Michezo Live

Waziri Mkuu Majaliwa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale (Video)

Mhe Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa aliwakilishwa na msaidizi wake Fadhili Liwaka kwenye mazishi ya Mke wa Babu Tale, Shammy yaliyofanyika Mkuyuni, Mkoni Morogoro.

Liwaka alisema ametumwa na Mhe Waziri Mkuu kuja kutoa pole kwa ndugu jamaa kutokana na msiba huo mzito.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW