Burudani

Picha: Waziri Mkuu Pinda atembelewa na jopo la semina ya fursa shambani kwake Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alitembelewa shabani kwake, Dodoma na jopo la semina ya fursa linaloenda sambamba na Serengeti Fiesta 2013.

Waziri mkuu Mizengo Pinda akitambulisha asali aliyovuna na jinsi alivyoifunga.

Timu hiyo ilifika kwenye mashamba hayo yaliyopo Kizota nje kidogo ya mji wa Dodoma eneo la Zuzu ambalo ndilo jina halisi la mashamba hayo ambako panafanyika kilimo cha mazao mbalimbali, ikiwemo ufugaji wa Mbuzi zaidi ya mia mbili,kilimo cha Zabibu, Nyanya,Ndizi na ufugaji wa asali.

Bwana kilimo wa Waziri Pinda akitoa elimu ya green house.
Bwana kilimo wa Waziri Pinda akitoa elimu ya green house

Bwana Shamba Yona,wa mbele akielezea aina ya zabibu.
Bwana Shamba Yona,wa mbele akielezea aina ya zabibu

Bwana Shamba,Yona,kulia akiwa na Mrisho Mpoto.
Bwana Shamba,Yona,kulia akiwa na Mrisho Mpoto

Jopo zima la semina ya fursa likiingia shambani kwa Mizengo Pinda.
Jopo zima la semina ya fursa likiingia shambani kwa Mizengo Pinda

Maajabu ya Green house inavyokuza mimea ya nyanya.
Maajabu ya Green house inavyokuza mimea ya nyanya

Mrisho Mpoto akiangalia aina za asali.
Mrisho Mpoto akiangalia aina za asali

Mrisho Mpoto akikamata fursa kwa Waziri Pinda.
Mrisho Mpoto akikamata fursa kwa Waziri Pinda

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nick wa Pili,kushoto,Queen Dorlin,Msami na Stamina wakiwa shambani.
Nick wa Pili,kushoto,Queen Darleen, Msami na Stamina wakiwa shambani

Mzinga wa nyuki.
Mzinga wa nyuki

Nick akiwa kwenye shamba la zabibu.
Nick akiwa kwenye shamba la zabibu

Nyanya
Nyanya

Shamba la nyanya.
Shamba la nyanya

Shamba la vitunguu.
Shamba la vitunguu

Shamba la zabibu za mvinyo.
Shamba la zabibu za mvinyo

Wakiingia shambani.
Wakiingia shambani

Waziri mkuu Mizengo Pinda akielezea jinsi ya kukausha zabibu.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akielezea jinsi ya kukausha zabibu

Waziri mkuu Mizengo Pinda akiongea na vyombo vya habari.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiongea na vyombo vya habari

Waziri mkuu Mizengo Pinda akitambulisha asali aliyovuna na jinsi alivyoifunga.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akitambulisha asali aliyovuna na jinsi alivyoifunga

Waziri mkuu Mizengo Pinda na  Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group,Ruge Mutahaba.
Waziri mkuu Mizengo Pinda na Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Medai Group,Ruge Mutahaba

IMG_0749

IMG_0750

IMG_0754

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents