Burudani

Waziri Mwakyembe akabidhi gari mbili kwa washindi wa Shika Ndinga 2018 (Video)

Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe Jumapili hii alikuwa mgeni rasmi katika fainali za Shika Ndinga 2018 zilizofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es salaam ambapo pia aliwakabidhi washindi wawili gari aina Kirikuu. Washiriki wa shindano hilo walitoka katika mikoa sita ikiwemo Dar Es salaam, Pwani, Mwanza pamoja na Tanga. Washindi wa Shika Ndinga 2018 ni Jafar Kassim mkazi wa Lushoto Tanga pamoja na Kwandu Salum kutoka mkoani Mwanza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents