Michezo
Waziri Mwakyembe amteua Leodger Tenga kuwa Mwenyekiti BMT
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua rais mstaafu wa shirikisho la soka Tanzania (TFF), Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).