Michezo

Waziri Mwakyembe apokea michango ya Serengeti Boys

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kabla ya kupokea mchango kwa ajili ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Serengeti Boys kutoka kwa wadau wa michezo nchini.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea hundi ya Shillingi Millioni 10 leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwa Kampuni ya Multichoice Tanzania iliyowasilishwa kwa niaba yao na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassan Abbas.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea mchango wa Shillingi Millioni moja kwa ajili ya Serengeti Boys leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Bi. Salome Kitomari.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea mchango wa Shillingi Millioni Moja kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) iliyowasilishwa kwa niaba yao na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo.

Picha na Shamimu Nyaki WHUSM.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents