Habari

Waziri Mwinyi atumia sherehe za Maulidi ya NIDA kuzungumzia shambulio la kigaidi Kenya (Video)

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi, ametumia sherehe ya kumbukumbu ya mazazi ya kiongozi wa waislamu Mtume Muhammad (S.A.W) iliyoandaliwa na kampuni ya NIDA TEXTTILE MILLS kuwahasa watanzania juu ya umuhimu wa amani na kugusia shambulio la kigaidi la Kenya ambalo lilisababisha vifo vya watu 21 wasiokuwa na hatia.

Pia maulidi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini ya kiislam, akiwemo mwanazuoni Al Habib Umar Bin Muhammad Bin Salim Bin Hafidz kutoka Yemen.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents