Habari

Waziri Ndalichako kumsomesha mdogo wa Akwelina (Video)

Baadhi ya vitu vilivyopokelewa kwa faraja katika familia ya Mzee Akwilini ni ahadi ya Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako ya kumsomesha mdogo wa marehemu ambaye awali alikuwa anasomeshwa na Akwelina kwa fedha za mkopo wa Chuo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents