Habari
Waziri Ummy amteua Lwezimula kuwa Mkurugenzi wa MOI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amemteua Dk Respicious Lwezimula Boniface kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI).
Hii ni taarifa yake:
Na Emmy Mwaipopo