Aisee DSTV!
SwahiliFix

Waziri wa katiba na Sheria Mahiga “Kompyuta zilizoibiwa sio za DPP bali ni za mkuu wa mkoa” – Video

Waziri wa katiba na Sheria Mahiga "Kompyuta zilizoibiwa sio za DPP bali ni za mkuu wa mkoa" - Video

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Balozi Agustine Mahiga ameweka bayana kuwa vipande vya kompyuta vilivyoibiwa ni vya ofisi ya Mashtaka Mkoa wa Dar es Salaam na siyo ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania. “Hakuna athari zozote za kiutendaji katika ofisi hiyo na wanaendelea na kazi yao kama kawaida,” Waziri Mahiga.

Balozi Mahiga pia akawataka watu kuliachia jeshi la polisi liendelee na uchunguzi wake unaofanywa kupitia vipande vya komputer vilivyobaki.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW