Habari

Waziri wa Nigeria akanusha kauli inayosambazwa

Baada ya taarifa kuzaga zikisema kuwa serikali ya Nigeria kupitia Waziri wa Habari na Utamaduni, Lai Mohammed kukataza wasanii kufanya video nje ya nchi hatimaye , waziri huyo ameibuka kupinga kauli hiyo.

Kwa mujibu wa mtandao wa Punch, Waziri huyo ameeleza kuwa katika mkutano alioufanya Eko Hotel ulikuwa ukihusisha bajeti za utengenezaji wa filamu na muziki, ila haukukataza kufanya video nje ya nchi hiyo.

“At Copyright Society of Nigeria (COSON), I said that I would work to amend the National Broadcasting Commission’s code to ensure that if a product is designated a Nigerian product, it must be produced in Nigeria. I didn’t say that, henceforth, all music and films would or must be produced in Nigeria,” amesema Waziri Mohammed.

Ameongeza kuwa “All I said was that if a programme is designated as a Nigerian content programme, we will amend the code to ensure that it is produced in Nigeria. I didn’t say I’ll ban the production of Nigerian movies and videos overseas.”

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents