Burudani

Wazo la Leo ya Stamina ft. Fid Q kuachiwa Ijumaa hii!!

stamina

Rapper kutoka Morogoro, Stamina, anatarajia kutoa ngoma yake mpya iitwayo Wazo la Leo Ijumaa hii. Katika ngoma hiyo Stamina amemshirikisha Fareed Kubanda aka Fid Q ambaye anasema anamchukulia kama baba yake kimuziki. Hivi karibuni Stamina aka Kabwela aliachia bonus track iitwayo Moro Moro ikiwa ni version yake ya wimbo Mwanza Mwanza wa Fid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents