Burudani

WCB ilikuwa imfukuze kazi Kifesi Jumanne hii (Video)

Habari za uhakika kutoka ndani ya WCB zinadai kwamba aliyekuwa mpiga picha wa kampuni hiyo, Kifesi alikuwa afukuzwe kazi Jumanne hii. Hatua hiyo imekuja baada ya mpiga picha huyo mahiri kuacha kazi kwa madai anataka kufanya kazi zake binafsi pamoja na kumrudia Mungu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents