Picha

Wema akanusha kujifananisha na Kim Kardashian ‘she is my role model; there is no way naweza fanana naye’

By  | 

Wema Sepetu amelazimika kukanusha maneno ya baadhi ya watu nchini kuwa anajifananisha na Kanye’s baby mama, Kim Kardashian.

wema na kim

Amesema anamchukulia Kim K kama role model wake na kamwe hawezi kufikia matawi yake. Akiweka picha ya Kim kwenye akaunti yake Instagram, Wema ameandika:

I’m sure everyone in life happens to have a role model…. this one ryt here is myn… maana naona watu sijui huwa wagumu kuelewa. Remind me when nimeshawahi kujifananisha na Kim k… Kim Kardashian is my role model… my idol… da woman I look upto… nat my twin…. see da difference… there is no way nawezafanana naye… she is way up there, but she will forever be my number one, hate it or love it. Aisee wabongo, dah…. but all in all still gat mad love for yall.”

Hata hivyo sio wote waliomwelewa Wema kama hawa walioandika:

Cutiezintah: Hahaaha teh teh…….. Kwa kuwa alimlilia regie bush basi na wewe ukaamua kumpigia sm diamond kumlilia….hahahalkn inapaswa kuwa role modal wako coz kitabia mnafanana karibu kila kitu…sena sasa wewe unamcopy sanaaaa mpaka unapitiliza mama…. Eti wabongo bana wewe ni nani? Mmarekani nn dd ake kim nn? Hahahahaha leo nimefrai sana ….sasa na wewe huzai mana mwenzio soon anazaa mama… Kim k wetu wa bongo …..hahahahaha huhuhu hihihi hohoho huhuhu wacha weeeeeeeE.”

Mamu_chii: I geuss u do know wat a role model means right i mean kim K got her wealth from bruce do u even watch thr meaningless family show just a bunch of rich snobs who dont hav anything better to do with thr money.good for kim K shz kinda tryn to get her shit togethr but i dont think any1 in thr right mind would choose kim k to b a role model o lead a life as hers..its absurd.poverty of wisedom is worse than poverty of material wealth.”

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments