Burudani ya Michezo Live

Wema awafunda wasanii wenzake juu ya maisha yao ya baadae ‘tuamke, tujitengenezee uthamani’ (+video)

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amewashauri wasanii wenzake kutengeneza malengo yao katika uigizaji ili kujipa uthamani ambao utawasaidia hata pindi wakizeeka.

Akizungumza katika kongamano la waigizaji lililoandaliwa na Bodi ya Filamu wakishirikiana na Chama cha Waigizaji Taifa lililofanyika Jijini Dar es Salaam , Wema amesema muda sasa umefika wa wasanii kujitengenezea thamani katika uigizaji.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW