Burudani

Wema Sepetu alivyopatwa na rungu la wajumbe ‘Bora mimi walinipa kura 91, hawa 6 sijui mbili si ndio hatari (Video)

Malkia wa filamu @wemasepetu amefunguka kuzungumzia sababu ya kutojitokeza kwenye kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kama alivyojaribu mwaka 2015 na kuambulia kura 91.

Muigizaji huyo ambaye wiki iliyopita amepata dili la tamthilia yake ya Karma kuonyeshwa @dstvtanzania , alisema kwa sasa nguvu yake ameamua kuilekeza kwenye filamu zaidi kwa kuwa ni sehemu anaona anafanya vizuri zaidi.

Wema amesema yeye kwenye siasa alifika kwenye hatua nzuri kwa kupata kura 91 ingawa na yeye wajumbe walimuangusha.

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents