Burudani

Wema Sepetu apata shavu Wasafi TV

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ametangaza kuwa ni moja ya watu maarufu watakaoonekana kwenye kituo cha runinga cha Wasafi TV kinachomilikiwa na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.

Wema Sepetu

 

Wema amesema kuwa watu kwa sasa wanamuona yupo karibu na Diamond Platnumz wengi wakidhani labda wamerudisha mahusiano yao ya kimapenzi lakini hakuna chochote yeye anamchukulia kama Boss wake kwani tayari ameshapata shavu la kurusha kipindi chake Wasafi TV. Mtazame Wema Sepetu akizungumzia ishu hiyo

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents