Burudani

Wema Sepetu arejea Instagram kwa picha hizi, lazima udate

Mrembo mwenye ushawishi mkubwa Bongo, Wema Sepetu, amerejea tena kwa kishindo kwenye mtandao wa Instagram baada ya kudaiwa kuwa akaunti yake hiyo imedukuliwa (hacked) tangu mara ya mwisho alivyopost February 2 ya mwaka huu.

Wema amepost picha zake mpya nane kwenye mtandao huo ambazo zimeonekana kuwavutia wengi huku akiandika ujumbe kwenye moja ya picha hizo ambao unasomeka, “There’s lotsa pics that missed on my page… Now is my Time to post dem… Though I know you’ve seen dem already… But will still post em anyways… So here’s to Having back our Account… Cheers my Loves… .”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents