AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Wema Sepetu asema atajaribu kuwa na roho mbaya ili afanikiwe (Video)

Msanii wa filamu Wema Sepetu amedai kwa sasa anajaribu kujifunza kuwa na roho mbaya kwa kuwa kuna baadhi ya vitu vyake vingi vimekwama kutokana na kuwa na roho ya huruma. Muigizaji huyo amedai watu wengi wenye roho mbaya wamefanikiwa zaidi kuliko wale wenye wema ambao utumia maisha yao kusaidia marafiki zao.

Related Articles

3 Comments

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW