Wema Sepetu atangaza nafasi za kazi kwenye kampuni yake, soma uone kama una sifa
Kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, inatangaza nafasi za kazi mbalimbali ikiwemo ya usekretari, graphic designer, cameraman na editor. Ingia ndani kusoma tangazo zima na jinsi ya kutuma maombi.
“U cn also email me ur cv at [email protected],” ametweet Wema. Changamka.