Burudani

Wema Sepetu awajia juu wanaomtusi mitandaoni

Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu amewajia juu watu ambao wamekuwa wakimtukana kwenye comment ya kitu ambacho anakiweka kwenye mitandao ya kijamii.


Madam Sepenga ameandika ujumbe mzito kupitia mtandao wa Instagram na kuonyesha kuwa amechoshwa na vitendo hivyo ambavyo amekuwa akifanyiwa kila kukicha.

Naona mmeshanikariri hua nakaa kimya pale nnapo ona comment ya matusi… nimepuuzia kwa muda mrefu mno… ila tukumbuke kuwa na mimi nina moyo, una nyama, tena ni binadam kama nyie tu… kama vile usivyopenda kuona mtu anakukebehi basi ndo hivyo hivyo navyo feel… kwani lazima matusi…??Hakuna asiejua matusi kwenye ulimwengu huu… Tena midomo michafu haswaaa ila tunajitahidi kujistiri… Hakuna kitu kinachonikera kama kutukana on Social media but Yooooo if ikihitajika I WILL… Iam very Reserved wen it comes to kubishana na stupid comments on Social media But y’all get a lil too much… Navumilia mengi mno jamani… πŸ˜”
.
.
If unaona kitu kinakukera au kinakuboa mtu kapost kwani lazima kucomment…Pita zako and reserve your comment…. Kwani lazima kucomment… ??????????Tena MATUSI … Sometimes mtu anaweza kupush ur buttons to the extent… Wen it comes to me nina EXTENTS zangu… And u dont go there… .
.
.
Navumilia vingi sana…. Vingi mnoooo jamani… Vingi kweli kweli… Try putting yourselves in my shoes for a minute… And see if they fit…
.
.
.
Ukipost kitu chako kuna ile mijitu iliotapikwa inakuja na maneno yao ya chooni utasema imetumwa… Kwani mashindano…?? Y’all can be very provocative at times…. .
.
.
Sio Poa… .
.
.
Tukumbushane tu… Hata mimi ni Binadam kama nyinyi… Nina Moyo, wa Nyama na sio Chuma… Blood runs through my veins…. And I feel pain, Hurt, Sorrow & Grief… .
.
.
Tusijisahau sana basi…. πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents