Michezo

Wenger aipigia chepuo Arsenal derby ya London

Kuelekea mchezo wa derby ya London Kaskazini siku ya Jumamosi meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amewataka mashabiki wasoka kuacha kuidharau timu yake na kuiyona ‘underdogs’ dhidi ya wapinzani wao Tottenham.

The Gunners ilimaliza nje ya nne bora katika msimamo wa ligi iliyopita ikiwa ni kwamara ya kwanza tangu Wenger aichukue timu hiyo mwaka 1996.

Wenger amekitetea kikosi chake kwa kusema kuwa kipofiti na wala siyo dhaifu kama kinavyozungumzwa kuelekea mchezo huo wa derby.

“Nafikiri Tottenham ipovizuri lakini kwaupande wetu tuko borazaidi kushinda mchezo huu na hicho ndicho kitu tunachohitaji kuwaonyesha,”amesema meneja huyo wa Arsenal, Arsene Wenger.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents