Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Michezo

West Ham yachomoza na ushindi wake wa kwanza msimu huu

By  | 

Klabu ya West Ham United imechomoza na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Huddersfield katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza.

Wagonga nyundo hao wa London wamepunguza presha ya kocha, Slaven Bilic baada ya kupata ushindi wao wa kwanza msimu katika bao ya liyopatikana kipindi cha pili kupitia wachezaji wake, Pedro Obiang akifunga dakika ya 72 huku Andre Ayew akimalizia karamu ya mabao kwa goli lake la dakika ya 77.

Kikosi cha West Ham kilicho cheza ni: Hart (6), Reid (6), Cresswell (6), Fonte (6), Zabaleta (7), Collins (6), Kouyate (6), Carroll (7), Obiang (6), Hernandez (7), Antonio (8).

Waliotokea benchi: Ayew (6), Sakho (3), Rice (2).

Wakati kikosi cha Huddersfield waliocheza ni: Lossl (6), Smith (6), Billing (6), Kachunga (6), Mooy (7), Lowe (6), Van La Parra (5), Ince (6), Mounie (6), Zanka (5), Schindler (6).

Huku wachezaji waakiba ni Malone (4), Sabiri (3), Depoitre (2).

Man of the match: Michail Antonio.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW