Michezo

West Ham yamtangaza rasmi Manuel Pellegrini 

Klabu ya West Ham imethibisha kuingia kandarasi ya miaka mitatu na Manuel Pellegrini kuwa meneja mpya wa timu hiyo.

Kocha, Pellegrini anatarajiwa kukusanya kitita kizito zaidi ya paundi milioni 16 aliyokuwa akilipwa kwa mwaka kwenye ligi ya China.

Duru za habari zinaeleza kuwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 64 aliyeachana na timu ya  Hebei China anatarajiwa kufanya makubwa ndani ya kikosi cha West Ham kutokana na mafanikio yake aliyopata kwenye klabu nyingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents