Burudani

Weusi wachukua kijiti cha ubalozi wa Airtel toka kwa Navy Kenzo

Weusi wametangazwa Jumanne kuwa mabalozi wapya wa Airtel Tanzania. Wametangazwa kuwa mabalozi wa huduma mpya ya kampuni hiyo iitwayo HATUPIMI BANDO.

Kundi hilo linaloundwa na Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako limechukua nafasi hiyo kutoka kwa kundi la Navy Kenzo ambao walikuwa mabalozi wa huduma nyingine mwaka jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents