Burudani

Weusi warekodi wimbo na rapper AKA wa Afrika Kusini

Kundi la Weusi usiku wa kuamkia leo limerekodi wimbo na rapper wa Afrika Kusini, Kiernan Jordan Forbes maarufu kama AKA.

weusi2

Rapper huyo yupo nchini kwaajili ya kuhudhuria ‘Zari All-White Party’ inayofanyika Ijumaa hii Mlimani City.

weusi1

Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako pamoja na AKA waliungana na producer Tuddy Thomas kwenye session ya usiku huku beat ya collabo hiyo ikifanywa na Nahreel.

“TOKA STUDIO NOW….ITS DONE WEUSI FT AKA….BIG S/O @diamondplatnumz…KWA KUMLETA AKA TZ..BILA WEWE HII COLABO ISINGEWEZEKANA …S/O @adamchomvu BABA LA BABA…S/O @nahreel ON THE BIT..@tuddthomas on the session,” ameandika Nick wa Pili kwenye Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents