Technology

WhatsApp yafikisha watumiaji bilioni moja duniani

App maarufu ya ujumbe, WhatsApp, imefikisha watumiaji bilioni moja wanayoitumia kila mwezi.

1BAC1FAC00000578-0-image-a-2_1454369798494

Idadi hiyo ni sawa na mtu mmoja katika kila watu saba duniani.

App hiyo inayomilikiwa na Facebook imeizidi hata Facebook Messenger yenye watumiaji milioni 800 kila mwezi. Kampuni hiyo ilisema kuwa ujumbe bilioni 42, video milioni 250 hutumwa kwenye WhatsApp kila siku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents