Wiki ya wanafunzi wa kimataifa

Image
kamati ya waandaaji wa wiki ya wanafunzi wa kimataifa, ISWIT, wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Jokate Mwegelo, jana walitambulisha maonyesho ya mwaka huu kwenye hoteli ya New Africa (ISWIT 2010) ambayo yatafanyika mkoani Dodoma kuanzia Julai 17 mpaka 24.

Image
Rais wa ISWIT, Jokate Mwegelo akifafanua jambo kwa waandishi

Maonyesho hayo ambayo hufanyika kila mwaka, yatakuwa na kauli mbiu ya ‘Sauti ya vijana wasomi katika kujenga Afrika; njoo usikie na kutenda’ na huvutia wabafunzi wa mataifa mbalimbali duniani

 

Image
Mwakamu Mwenyekiti, Samuel Ndandala akijibu swali la mwandishi

Kutakuwa na matukio mbalimbali kuelekea kwenye tukio hilo kubwa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents