MichezoUncategorized
Wilfried Bony aeleza kinachozisumbua timu za Africa, aitabiria Senegal makubwa (Video)
Mshambuliji wa Ivory Coast na Swansea City Wilfried Bony amefunguka kuzungumzia michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea huko nchini Russia huku akidai timu ya nyingi za Africa zimeshindwa kufanya vizuri kutokana na kukosa uzoefu.
Pakua aplikesheni ya iflix sasa! Bofya go.iflix.com/play . Chagua Vodacom yenye Kifurushi maalum kwa ajili yako. Furahia sasa. Piga *149*01# >intaneti >Vifurushi vya video(Kwese iflix) >Kwese iflix chaneli za bure