Michezo

Wilfried Bony kujenga chuo cha muziki Bongo, aeleza sababu (Video)

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester City anayejipiga Swansea City, Wilfried Bony ametua nchini Tanzania na amezungumzia ufatiliaji wake wa soka la Tanzania na kufanya vizuri kwa muziki wa Bongo Fleva. Bony amesema mpango wake ni kushirikiana na kampuni kama Asas kwaajili ya kujenga chuo cha muziki ambacho kitawasaidia vijana Wakitanzania kujifunza muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents